MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA LEO
Naibu
 Spika wa Bunge la Tanzania  Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) 
akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Kilolo Mhe Venance 
Mwamoto(kushoto) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko ya mchana ya 
kikao cha Bunge.
Afisa
 Habari wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Patson 
Sobha(aliyenyosha mkono) akitoa maelezo kwa wanachuo wa Chuo Kikuu cha 
Dodoma walitembelea Bunge kama sehemu ya mafunzo jana mjini Dodoma.
Mbunge
 wa Jimbo la Igunga Mhe. Dkt. Dalaly Kafumu(kushoto) akibadilishana 
mawazo na Mbunge wa Jimbo la Simanjirio Mhe. James Ole Milya(wa pili 
kushoto), Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe.John Heche(wa pili kulia)  na 
Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwa(kulia)  jana mjini Dodoma wakati wa 
mapumziko ya mchana ya kikao cha Bunge.
Waziri
 wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kushoto) 
akibadilishana mawazo na   na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwa(kulia) 
 jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko ya mchana ya kikao cha Bunge.
Picha na Tiganya Vincent, Dodoma.
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni