NHIF TANGA YAWAPIGA MSASA WARATIBU WA CHIF MKOA WA TANGA.
|  | 
| MENEJA
 wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Tanga (NHIF) Ally Mwakababu 
akisisitiza jambo wakati wa semina ya waratibu wa CHF mkoa mzima wa 
Tanga ikiwa na lengo la kuwajengea uwezo | 
|  | 
| Mratibu
 wa GIZ Mkoa wa Tanga,Apolinary Primus Rutakuburwa ambao wanasapoti 
huduma za afya na matibabu kulia akisisitiza jambo wakati wa semina hiyo
 kushoto ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Tanga 
(NHIF) Ally Mwakababu akifuatilia kwa umakini | 
 
|  | 
| Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bimam ya Afya Mkoa wa Tanga,Miraji Msile akiwaelekeza jambo waratibu wa CHF wakati wa semina ya waratibu wa CHF mkoa mzima wa Tanga ikiwa na lengo la kuwajengea uwezo 
 | 
 
|  | 
| Maafisa
 kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Tanga wakiongozwa na 
Dr.Sana kulia wakifuatilia semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa 
Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo. | 
 
|  | 
| Mratibu wa CHF Mkoa wa Tanga,Apolinary Primus Rutakuburwa kulia akisisitiza  jambo kwa waratibu wa CHF mkoa wa Tangawakati wa semina iliyokuwa na lengo la kuwajengea uwezo. 
 | 
|  | 
| Waratibu
 wa CHF Mkoa wa Tanga wakinakili maelezo kutoka kwa Meneja wa Mfuko wa 
Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Tanga (NHIF) Ally Mwakababu wakati wa 
semina iliyokuwa na lengo la kuwajengea uwezo waratibu wa mkoa mzima | 
 
 
Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni