BENKI YA CRDB YAFANYA MKUTANO MKUU WA WANAHISA JIJINI ARUSHA
By Newsroom on May 23, 2016
 Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa.
 Mwenyekiti Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akijibu maswali ya wanahisa.
 Manaibu Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka na Saugata Bandyopadhyay wakifurahia jambo wakati wa mkutano huo.
Mwanahisa akiuliza swali.
Wanahisa wakiwa katika mkuano.
Mwenyekiti
 Abeid Mwasajone akiongoza mkutano wa wanahisa. Katikati ni Katibu wa 
Benki ya CRDB, John Rugambo na Makamu Mwenyekiti, Steven Mashishanga.
Wanahisa wakifuatilia mkutano.
Wanahisa wakijiandikisha.
Mkurugenzi
 Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akizungumza na Naibu 
Mkurugeni Mtendaji wa benki hiyo, Saugata Bandyopadhyay.
Wanahisa.
Wanahisa wakipiga kura kuwachagua wajumbe wa bodi ya wakurugenzi katika benki ya CRDB.
Wakurugenzi
 wa Benki ya CRDB pamoja na mjumbe wa bodi wakijadiliana jambo, Boniface
 Muhegi (kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanahisa wa benki 
hiyo. Kutoka kushoto ni Tullyesther Mwambapa, Philip Alfred na Anderson Mlabwa.
Mkurugenzi
 wa Masoko Utafiti na Huduma kwa wateja wa Benki ya CRDB, Tullyesther 
Mwambapa akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Mkoa wa 
Mbeya, Benson Mwakyusa.
 






 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni