Jumatatu, 16 Mei 2016

MAJALIWA AONDOKA LONDON KUREJEA DAR

index 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na wafanyakazi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London wakati alipoondoka kwenye hoteli ya Intercontinental kurejea Dae es salaam Mei 15, 2016  Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni