LUHWAVI ASIKILIZA KERO WA ZA WANANCHI NA KUZIPELEKA KWA MKUU WA MKOA TANGA
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajabu Luhwavi akisalimiana na Mwenyekiti wa
Kata ya Usagara Mashariki, Ramadhani Makange, alipowasili kwenye Shina
namba kumi, Tawi la Usagara Mashariki mkoani Tanga, kusikiliza kero za
wananchi na wachama wa CCM katika shina hilo leo
Wanachama
wa CCM Shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki wakimshangilia
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipowasili kwenye shina
hilo wilaya ya Tanga mjini, leo
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akiwa na Mwenyekiti wa Shina
namba kumi, tawi la CCM la Usagara Mashariki wilaya ya Tanga mjini,
Abubakar Manyoka (kulia) na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Usagara Mashariki
Ramadhani Makange (kushot), alipowasili kwenye shina hilo leo
kusikiliza kero za wanachama akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama
wilaya ya Tanga mjini.
Baadhi
ya wanachama wa shina namba kumi tawi la CCM Usagara Mashariki wilaya
ya Tanga mjini, wakiwa tayari kumsikiliza naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara,
Rajab Luhwavi
Mwenyekiti
wa Shina namba kumi, tawi la CCM, Usagara Mashariki, Abubakari Manyoka
akifungua kikao cha tawi hilo, kabla ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara,
Rajab Luhwavi kuzungumza na wanachama wa tawi hilo, lililopo wilaya ya
Tanga Mjini leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Usagara Mashariki
Ramadhani Makange
Mwenyekiti
wa shina namba kumi, tawi la CCM, Usagara Mashariki, Abubakar Manyoka,
akimkabidhi taarifa iliyosheheni kero zinazowahusu wanachama wa shina
hilo, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi, leo
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akizungumza na wanachama wa CCM
shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki wilaya ya Tanga Mjini
leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Usagara Mashariki Ramadhani
Makange na kulia ni Mwenyekiti wa CCM shina namba kumi, tawi la CCM
Usagara Mashariki wilaya ya Tanga Mjini Abubakar Manyoka
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akizungumza na wanachama wa CCM
shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki wilaya ya Tanga Mjini
leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Usagara Mashariki Ramadhani
Makange na kulia ni Mwenyekiti wa CCM shina namba kumi, tawi la CCM
Usagara Mashariki wilaya ya Tanga Mjini Abubakar Manyoka
Wanachama
wa shina namba kumi, Tawi la CCM Usagara Mashariki, wakimsikiliza Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, rajab Luhwavi alipozungumza nao kusikiliza
akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika wilaya ya Tanga
Mjini, leo.
Mmoja
wa wanachama wa CCM shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki
wilaya ya Tanga mjini, akitoa dukuduku na kero zinazowakabili wanachama
wa CCM wa shina hilo, Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Bara Rajab Luhwavi
alipozungumza na wanachama wa tawi hilo leo
Mkuu
wa kitengo cha Utafiti na Mafunzo ya Chama katika Idara ya Itikadi na
Uenezi, Frank Uhahula akieleza namna ya kupata ufumbuzi wa baadhi ya
changamoto ambazo wanachama wa shina namba kumi tawi la CCM Usagara
Mashariki, walimweleza Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi
alipozungumza nao leo akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika
wilaya ya Tanga Mjini.
Mkuu
wa kitengo cha Utafiti na Mafunzo ya Chama katika Idara ya Itikadi na
Uenezi, Frank Uhahula akieleza namna ya kupata ufumbuzi wa baadhi ya
changamoto ambazo wanachama wa shina namba kumi tawi la CCM Usagara
Mashariki, walimweleza Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi
alipozungumza nao leo akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika
wilaya ya Tanga Mjini.
Diwani
wa Kata ya Usagara Mashariki Carlos Hiza, akimwambia Naibu Katibu Mkuu
wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi kero zinazowakabili wananchi,
alipozungumzana wanachama wa CCM Shina namba kumi, tawi la CCM la
Usagara Mashariki katika kata hiyo akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa
Chama katika wilaya ya Tanga mjini leo
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Baa, Rajab Luhwavi akiongozana na baadhi ya
wanachama wa CCM shina namba kumi tawi la CCM Usagara Mashariki, kwenda
kushiriki msiba wa Mama wa mmoja wa wanachama wa CCM anayeishi katika
eneo la shina hilo, Mwalimu Tajiri, baada ya kuzungumza na wanachama wa
CCM wa shina hilo leo
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akishiriki kubeba jeneza lenye
mwili wa Mama wa mmoja wa wanachama wa CCM shina namba kumu tawi la
Usagara Mashariki wilaya ya Tanga mjini, Mwalimu Tajiri, wakati wa
kwenda mazikoni leo.
Mmoja
wa wanachama wa CCM kutoka shina namba kumi, tawi la CCM Usagara
Mashariki wilaya ya Tanga mjini Mwalimu Tajiri akifarijiwa wakati wa
msafara wa kwenda mazikoni kuzikwa mama yake mzazi leo
















Hakuna maoni:
Chapisha Maoni