Rais Dkt. Magufuli aondoka Kampala Kurejea nyumbani nchini Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipita
mbele ya gwaride rasmi lililoandaliwa kwa ajili ya kumuaga katika
uwanja wa ndege wa Entebe wakati akiondoka kurejea nyumbani Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono
Kikundi cha ngoma za asili cha Entebe nchini Uganda wakati akiondoka kurejea nchini.
Kikundi cha ngoma za asili cha Entebe nchini Uganda wakati akiondoka kurejea nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa
makofi na baadhi ya viongozi mbalimbali wakati alipowasili kwenye hafla
ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni
kwa Viongozi wakuu wanchi mbalimbali siku walipowasili Kampala nchini Uganda.
kwa Viongozi wakuu wanchi mbalimbali siku walipowasili Kampala nchini Uganda.
Waandishi mbalimbali wa Habari kutoa nchi tofauti wakiwa na shauku ya kupata picha ya
Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kumalizika kwa sherehe za uapisho
wa Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Museveni zilizofanyika kwenyeuwanja wa
Uhuru wa Kololo, Kampala nchini Uganda.
Katika Picha hiyo Rais Dkt. Magufuli alikuwa akizungumza na Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta.

Picha na IKULU

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni