Ijumaa, 13 Mei 2016

MAJALIWA AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI LONDON UINGEREZA

By Newsroom on May 13, 2016
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi
Anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa wa Uingereza   (Minister of
State for International  Development) , Justine Greening  katika
Mkutano kuhusu mikakati ya kupambana na rushwa uliofanyika kwenye
ukumbi wa Lancaster House, London Uingereza, May 12, 2016.   Wapili
kushoto ni  Waziri wa Mambo ya Nje , Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki,
Kikanda naKimataifa, Augustine Mahiga na watatu kushoto ni Jaji Mkuu,
Mohamed Othman.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa
Afrika ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga (kulia)
wakizungumza na Waziri  Mkuu  wa Norway, Erna  Solberg katika  Mkutano
kuhusu mikakati ya kupambana na rushwa uliofanyika London Uingereza, May
12, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na  Waziri  Mkuu  wa Norway,
Erna Solberg katika  Mkutano kuhusu mikakati ya kupambana na rushwa
uliofanyika kwenye ukumbi wa Lancaster House, London Uingereza, May 12,
2016.  Kulia ni  Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya
Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa
Afrika ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga (wapili
kushoto) wakizungumza na Waziri  Mkuu  wa Norway, Erna  Solberg (kulia)
katika  Mkutano kuhusu mikakati ya kupambana na rushwa uliofanyika
kwenye ukumbi wa Lancaster House, London Uingereza, May 12, 2016.  Wanne
kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman  na watatu kushoto ni
Mkurugenzi wa Idara ya  Ulaya na Amerika katika `Wizara ya Mambo ya Nje,
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Joseph
Sokoine
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya
Madola, Patricia Scotland katika  Mkutano kuhusu mikakati ya kupambana
na rushwa uliofanyika kwenye ukumbi wa Lancaster House, London
Uingereza, May 12, 2016. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni