RAIS Dk.SHEIN ATEMBELEA UKUMBI WA BARAZA LA EID EL FIRI
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais 
Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haruna Ali Suleiman 
wakati alipotembelea Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi wa Zamani,Vuga 
Mjini Unguja ambao unatarajiwa kufanyika kwa Baraza la Eid el Fitri 
linalofanyika  kila mwaka baada ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa 
Ramadhan,[Picha na Ikulu.]
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(katikati) akifuatana na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais 
Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haruna Ali Suleiman 
(kushoto) na Katibu Mkuu Ofisi ya makamo wa Pili wa Rais Joseph Abdalla 
Meza(kulia)  wakati alipotembelea Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi wa 
Zamani,Vuga Mjini Unguja ambao unatarajiwa kufanyika kwa Baraza la Eid 
el Fitri linalofanyika  kila mwaka baada ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa 
Ramadhan,[Picha na Ikulu.]
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni