TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YAELEZA HALI YA ULINZI NA USALAMA KWA MTOTO WA TANZANIA
Kamishna
wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Salma Ali Hassan
akiongea na waandishi wa Habari(hawapo pichani) kuhusu hali ya mtoto wa
Tanzania na mazingira hatarishi wanayokutana nayo ikiwemo ubakaji,
ulawiti na unyanyasaji wa kijinsia. Kushoto ni Mkurugenzi wa Haki za
Binadamu kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Francis
Nzuki
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni