MBUNGE WA UKONGA MWITA WAITARA-AFUTURISHA WAPIGA KURA KWAKE
Waziri
 Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward 
Lowassa,akizungumza na waandishi wa habari baada aya kushiri Futari 
iliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita 
Waitara(Chadema),nyumbani kwake Kivule Dar es Salaam juzi.
Mbunge
 wa Ukonga, Mwita Waitara(Chadema), akizungumza katika Futari 
aliyowaandalia wananchi wa jimbo hilo nyumbani kwake Kivule Dar es 
Salaam juzi.
Wananchi
 wakifuturu Futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita 
Waitara(Chadema),nyumbani kwake Kivule Dar es Salaam juzi.
Wananchi
 wakifuturu Futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita 
Waitara(Chadema),nyumbani kwake Kivule Dar es Salaam juzi.
Wananchi
 wakifuturu Futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita 
Waitara(Chadema),nyumbani kwake Kivule Dar es Salaam juzi.
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni