KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI-MNH
Mwenyekiti
wa Baraza la Wafanyakazi la Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa
Lawrence Museru akifungua kikao cha 16 cha Baraza hilo kilichofanyika
leo Juni 30, 2016 katika ukumbi wa NACTE Mikocheni jijini Dar es
salaam. Kulia ni Katibu wa Baraza hilo Dk. Kisah Mwambene na kushoto ni
Katibu Msaidizi Enezer Msuya.
Katibu
wa TUGHE mkoa Bwana. Gaudence Kadyango akiwasilisha mada kuhusu
umuhimu wa mikataba ya hali bora za kazi na faida zake.
Bwana. Andrew Mwalwisi kutoka Tume ya Usuluhishi -CMA- akiwasilisha mada katika kikao cha Baraza la wafanyakazi wa MNH .
Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa- MNH -Alex Samweli akitoa hoja katika kikao hicho kilichofayika leo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni