WAZIRI KAIRUKI AFUNGA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2016 MKOANI DODOMA
Waziri
 wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora 
Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa ufafanuzi kuhusu hoja zilizowasilishwa
 na Watumishi wa Umma mkoani Dodoma wakati wwa kilele cha maadhimisho ya
 Wiki ya Utumishi wa Umma 2016
KILELE
 CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2016 -MATUKIO,-DODOMA. 
Watumishi wa Umma mkoani Dodoma wakisikiliza Hotuba ya Waziri wa 
Nchi-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb)
KILELE
 CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2016 -MATUKIO,-DODOMA. 
Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala 
Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb), katikati akisikiliza hoja za Watumishi 
wa Umma mkoani Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Jordan Rugimbana 
na kushoto, Katibu Tawala wa Mkoa huo Bi. Rehema Madenge.
Mmoja wa watumishi akiwasilisha hoja kuhusu madai mbalimbali ya watumishi.
Katibu wa Chama Cha Walimu (CWT)-Chunya Mbeya Bw.Sauli George akiwasilisha hoja.
Bw. Richard Kasogoto akiwasilisha hoja kuhusu watumishi kuonewa maeneo ya kazi.
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni