ATE WAWAASA WANACHAMA KUACHANA NA UWAKALA WA RUSHWA KATIKA SEHEMU ZAO ZA KAZI.
WANACHAMA wa chama Waajiri Tanzania waaswa kuachana na uwakala wa Rushwa katika nafasi zao wakati wa kuaajiri wafanyakazi katika sehemu zao za kazi.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi
mtendaji wa Chama cha waajiri Tanzania(ATE), Agrey Mulimuka wakati
akizungumza na wanachama hao katika mkutano mkuu wa mwa uliofanyika
jijini Dar es Salaam leo.
Pia amesema kuwa waajiri waajiri wafanyakazi wenye kibali cha ukazi na kuwa na mabadili katika sehemu zao za kazi.
Pia amesema kuwa waajiri waajiri wafanyakazi wenye kibali cha ukazi na kuwa na mabadili katika sehemu zao za kazi.
Nae
Kamishna wa kazi wa Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,
Bunge,Vijana, Kazi, Ajira na Walemavu, Hilda Kabisa wakati akizungumza
na wanachama wa chama cha waajiri Tanzania jijini Dar es Salaam leo
kwenye mkutano wa Mwaka wa Chama cha waajiri Tanzania.
Amesema
kuwa waajiri wengi huwa hawana tabia ya kuwasilisha michango ya
wafanyakazi wao kwa wakati katika mifuko ya Hifadhi ya Jamii hapa
nchini.
Kamishna wa kazi wa Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Vijana, Kazi, Ajira na Walemavu, Hilda Kabisa akizungumza kwa niaba ya Wizara
wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Vijana, Kazi, Ajira na Walemavu,
Jenister Mhagama jijini Dar es Salaam leo wakati wa mkutano wa mwaka wa
chama cha waajiri Tanzani (ATE) jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa chama cha waajiri Tanzania, Almas Maige na Mbunge wa Jimbo la Tabora Kaskazini akizungumza katika Mkutano wa mwaka wa chama cha waajili Tanzania jijini Dar es Salaam leo.
Mratibu
wa Mradi wa Maendeleo ya Umoja wa Mataifa (UNDP), Annamaria Kiaga
akizungumza katika mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Waajiri
Tanzania(ATE) jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Viongozi wa chama cha waajiri Tanzania(ATE) wakiwa katika mkutano uliofanyaka jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wadau na wa chama cha waajiri Tanzania(ATE) wakisikiliza katika mkutano huo jijini Dar es Salaam leo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni