WAZIRI WA AFYA (SMZ) AFUNGUA MASHINDANO YA MASAUNI-JAZEERA JIMBONI KIKWAJUNI
Waziri
 wa Afya(SMZ), ambaye pia ni mgeni Rasmi, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, 
akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni ambaye pia ni mchezaji 
wa timu ya maveterani ya Kikwajuni,  Mhe. Nassor Salim Jazeera, muda 
mfupi kabla ya mchezo wa ufunguzi wa Ligi ya Masauni-Jazeera, 
iliyofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja, Zanzibar. 
Waziri
 wa Afya(SMZ), ambaye pia ni mgeni Rasmi, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, 
akisalimiana na wachezaji wa timu ya kundi la G1, muda mfupi kabla ya 
mchezo wa ufunguzi wa Ligi ya Masauni-Jazeera, iliyofanyika katika 
Uwanja wa Mnazi Mmoja, Zanzibar. 
Waziri
 wa Afya(SMZ), ambaye pia ni mgeni Rasmi, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, 
akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kikwajuni juu, wakati wa ufunguzi 
wa Ligi ya Masauni-Jazeera, iliyofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja, 
Zanzibar. 
Waziri
 wa Afya(SMZ), ambaye pia ni mgeni Rasmi, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, 
akizungumza wakati wa ufunguzi wa Ligi ya Masauni-Jazeera, iliyofanyika 
katika Uwanja wa Mnazi Mmoja, Zanzibar. 
Waziri
 wa Afya(SMZ), ambaye pia ni mgeni Rasmi, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (wa 
pili kulia), na waalikwa wengine wakifuatilia mchezo wa Ligi ya Masauni-
 Jazeera katika Uwanja wa Mnazi Mmoja.
Watazamaji
 wakifuatilia mchezo wa ufunguzi wa Ligi ya Masauni-Jazeera, kati ya 
Timu ya Maveterani na Timu ya Kundi la G1, uliofanyika katika Viwanja wa
 Mnazi Mmoja,Zanzibar.
(Picha na Mpiga Picha Wetu)
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni