SHIRIKA LA I,H,H INSANI YARDIM VAKFI KWA KUSHIRIANA NA JUMUIYA YA MUZDALIFA ZANZIBAR YATOA MSAADA WA FEDHA KWA MAYATIMA ZANZIBAR
Wafanya
 kazi wa Jumuia ya Muzdalifat wakitayarisha malipo ya Msaada kwa ajili 
ya Watoto Mayatima wanaosaidiwa na Shirika la Misaada la I,H,H,INSANI 
YARDIM VAFKI kutoka Uturuki, hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Skuli ya
 Haile selasi mjini Unguja.
Baadhi
 ya Watoto mayatima wanaopatiwa Fedha za Msaada na I,H,H,INSANI YARDIM 
VAFKI kutoka Uturuki,wakishirikiana na Jumuiya ya Muzdalifat 
wakiongozana na walezi wao kuchukua fedha zao.Zaidi ya watoto 
800,wamepatiwa fedha hizo katika ukumbi wa Skuli ya Haile Selasi mjini 
Unguja.
Katibu
 Mtendaji wa Jumuiya ya Muzdalifat Farouk akizungumza machache katika 
hafla ya kuwa kabidhi Fedha  Watoto Mayatima Wanao fadhiliwa na Shirika 
la I,H,H INSANI YARDIM VAKFI la uturuki,katika ukumbi wa  Skuli ya Haile
 Selasi Mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni