SERIKALI YAASWA KUONGEZA NGUVU ZA KUMLINDA MTOTO.
KAMPUNI
 ya Nexgen inayojishughulisha na utetezi wa Haki za watoto hapa nchini 
wamewapokea wanafunzi 21 wa shule ya All Saints Anglican ya nchini ya 
Australia.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni
 ya Nexgen, Jacob Kahemele mara baada ya kuwapokea wanafunzi 21, wazazi 
wawili na walimu wawili wa  shule ya All Saints Anglican ya nchini ya 
Australia amesema kuwa wamekuja kwaajili ya kutoa mafunzo mbalimbali 
kwaajili ya kumkinga mtoto wa kike ili aweze kuwa salama na kubaki 
salama.
Amesema kuwa nchi ya Australia ndio nchini inayoongoza katika 
kumlinda mtoto na kuepukana na matatizo mbalimbali yanayomkumba mtoto wa
 kike hasa matatizo ya kubakwa kutokana na kesi nyingi kujitokeza hapa 
nchini Pia amewaasa viongozi wa nchi waongeze nguvu juu ya kumlinda 
mtoto.
Kahemele amesema kuwa viongozi wa siasa waachane kuzungumza vitu 
visivyo vya msingi bungeni na adala yake waanze kufikilia juu ya 
kumlinda mtoto hasa wa kike ili kuepukana na matatizo mbalimbali 
yanayomkumba.
 Mkurugenzi
 Mtendaji wa kampuni ya Nexgen, Jacob Kahemele akizungumza na waandishi 
wa habari mara baada ya wanafunzi wa shule ya All Saints Anglican 
kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es 
Salaam. Amesema kuwa wanafunzi hao wamekuja hapa nchini kwaajili ya 
kusaidi na kuhamasisha jamii kuzuia na kupambana juu ya usala wa mtoto 
katika maisha yake ya utoto.
Mkurugenzi
 Mtendaji wa kampuni ya Nexgen, Jacob Kahemele akizungumza na waandishi 
wa habari mara baada ya wanafunzi wa shule ya All Saints Anglican 
kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es 
Salaam. Amesema kuwa wanafunzi hao wamekuja hapa nchini kwaajili ya 
kusaidi na kuhamasisha jamii kuzuia na kupambana juu ya usala wa mtoto 
katika maisha yake ya utoto. Mwalimu wa shule ya All Saints Anglican ya nchini Australia, Blendan 
Collaghan akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mala 
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere 
jijini Dar es Salaam jana.
 Mwalimu wa shule ya All Saints Anglican ya nchini Australia, Blendan 
Collaghan akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mala 
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere 
jijini Dar es Salaam jana.
Wanafunzi wa Shule ya msingi ya Fountain Gate Academy wakiwapokewa
 na kuwafunga skafu za bendera ya Taifa wanafunzi wa shule ya All Saints
 Anglican ya nchini ya Australia walipowasili  katika uwanja wa ndege wa
 Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana.
Wanafunzi wa Shule ya msingi ya Fountain Gate Academy wakiwa na 
wanafunzi wa shule ya All Saints Anglican ya nchini ya Australia 
walipowasili  katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini 
Dar es Salaam jana.
Wanafunzi wa shule ya msingi ya Internation ya Fontain gate 
Academy iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam wakiwapokea wanafunzi wa 
shule ya wanafunzi wa shule ya All Saints Anglican ya nchini ya nchini 
Australia katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
 Salaam jana . 
Wanafunzi wa shule ya All Saints Anglican ya nchini Australia 
wakisaidiwa mizigo yao na Wanafunzi wa shule ya msingi ya Internation ya
 Fontain gate Academy iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam mara baada 
yakuwasili  katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar 
es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Nexgen, Jacob Kahemele 
akifurahiya jambo mara baada ya wanafunzi wa shule ya wanafunzi wa shule
 ya All Saints Anglican ya nchini ya nchini Australia waliowasili katika
 uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana.
Mwanafunzi wa shule ya msingi ya Internation ya Fontain gate 
Academy  akizungumza na wanafunzi wa shule ya wanafunzi wa shule ya All 
Saints Anglican ya nchini ya nchini Australia waliowasili katika uwanja 
wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana.
Wanafunzi wa shule ya All Saints Anglican ya nchini Australia 
wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar 
es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Nexgen, Jacob Kahemele 
akizungumza jambo na walimu wa  shule ya All Saints Anglican ya nchini 
Australia mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu 
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Nexgen, Jacob Kahemele (Wa pili 
kutoka kulia)akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya All 
Saints Anglican ya nchini Australia  na  Mwanafunzi wa shule ya msingi 
ya Internation ya Fontain gate Academy katika uwanja wa ndege wa Mwalimu
 Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 












 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni