MAKAMU WA RAIS AFUTURU NA WATOTO YATIMA
Normal
0
false
false
false
EN-GB
X-NONE
X-NONE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Nasaha maalum mara baada ya kumaliza kufuturu na watoto Yatima
kwenye viwanja vya Karimjee iliyoandaliwa na kampuni ya Chocolate Princess inayoandaa kipindi television cha Mboni Show.
 Mkuu wa Wilaya ya kinondoni Mhe. Ally Hapi (kushoto) akiwa kwenye dua pamoja na wageni waalikwa wengine.
Watoto
 Yatima wakiswali wakati wa tafrija ya kufuturisha watoto Yatima 
iliyoandaliwa na kampuni ya Chocolate Princess inayoandaa kipindi cha 
televisheni cha Mboni Show ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kufanyika 
kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
(kushoto) akisalimiana na Mkuu mpya wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kulia)
mwingine pichani ni Mkurugenzi wa kampuni ya Chocolate Princess inayotengeneza
kipindi cha television cha Mboni Show Bi. Mboni Masimba wakati wa tafrija
ya kufuturisha watoto yatima iliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee.
Mkurugenzi
 wa kampuni ya Chocolate Princess kinachoandaa kipindi cha The Mboni 
Show akizungumza wakati wa kufuturisha watoto yatima .
Mkuu
 wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akizungumza kwenye tafrija 
ya kufuturisha Watoto Yatima  iliyoandaliwa na kampuni ya Chocolate 
Princess inayoandaa na kipindi cha television Mboni Show ambapo mgeni 
rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan .(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan .(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Watoto wakipewa juisi wakati wa Tafrij ya Futari.
Naibu Mufti Mkuu Sheikh Hamid Jongo akizungumza kwenye tafrija hiyo.
 








 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni