MASTAA ULAYA WATUMIA VIZURI KIPINDI CHA JUA KALI, WASAMBAA KULA BATA TU...
NYOTA MBALIMBALI WANAOCHEZA SOKA BARANI ULAYA WAMEKUWA WAKIJIACHIA KATIKA SEHEMU MBALIMBALI HASA KWA WALE AMBAO HAWANA MAJUKUMU KIPINDI HIKI. |
RADAMEL FALCAO AKIWA NA MPENZI WAKE NA BINTIYE WAKIJIACHIA MIAMI NCHINI MAREKANI |
MARCO VERRATTI AMBAYE NI MAJERUHI AKIWA NA MPENZI WAKE |
'SMBA', CARLOS TEVEZ NA FAMILIA YAKE MIAMI NCHINI MAREKANI |
ROBERTO FIRMINO AKIWA NCHINI MEXICO. |
PETER CROUCH AKIJIACHIA |
MEMPHIS DEPAY NA MPENZI WAKE WAKIWA UGIRIKI |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni