NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI AZUNGUMZIA MATUKIO YA KIHALIFU YALIYOTOKEA MKOA WA KUSINI PEMBA
Naibu
  Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni 
(kushoto),  akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari(hawapo 
pichani)  kuhusiana na matukio ya kihalifu ya kuchoma moto nyumba, 
mashamba na kuharibu mazao  yaliyotokea mkoa wa Kusini Pemba na kuahidi 
kuyashughulikia. Kulia ni Kamishna  wa  Polisi Zanzibar, Hamdani Omary 
Makame.
Kamishna
  wa Jeshi la  Polisi Zanzibar, Hamdani Omary Makame, akizungumza katika
 mkutano na waandishi wa habari(hawapo pichani)  kuhusiana na matukio ya
 kihalifu ya kuchoma moto nyumba, mashamba na kuharibu mazao 
 yaliyotokea mkoa wa Kusini Pemba. Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya 
Mambo ya Ndani ya Nchi. Mkutano huo umefanyika Makao Makuu ya Polisi 
Zanzibar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni