MAJALIWA AHITIMISHA MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR’AN TUKUFU YA KIMATAIFA
Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, 
Alhaj Ali Hassan Mwinyi baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond 
Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016 kuhitimisha Mashindano ya 
Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee 
jijini Dar es slaam . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Baadhi
 ya Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya Kuhifadhi 
Qur’an Tukufu ya Kimataifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
wakati alipohitimisha mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee 
jijini Dar es salaam Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dare es salaam Sheikh  Alhadi Mussa Salim akiwa amekaa na Mkurugeni wa Tume ya Ucahguzi  Bw. Ramadhan K.Kailima. 
Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya 
Kinondoni Mh. Ali Hapi akiwa amekaa na Kamanda wa kikosi cha usalama 
Barabarani nchini Kamanda Mohamed Mpinga na kulia kwake ni Mwenyekiti wa
 CCM mkoa wa Dar es salaam Bw. Ramadhan Madabida.
Baadhi
 ya Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya Kuhifadhi 
Qur’an Tukufu ya Kimataifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
wakati alipohitimisha mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee 
jijini Dar es salaam Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mufti wa Tanzania, Sheikh 
Abubakary Zubery bin Ally baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond 
Jubilee jijini Dar es salaam kuhitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an 
Tukufu ya Kimataifa Juni 26, 2016. Katikati ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es 
salaam, Alhadi Mussa Salum. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipohitimisha Mashindano ya 
Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee 
jijini Dar es salaam Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na watoto wadogo kuliko wote 
walioshiriki katika Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa 
kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 
2016.Watoto hao ni Abuzar Kholidi wa Tajikistan (Kulia) na Ahmad 
Abdullah Al-Azhar wa wa Bangladesh. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
 Mkuu, Kassim Maajliwa akiagana na baadhi ya waumini wa Kiislamu 
walioshiriki katika hitimisho la Mashindano ya Kuhufadhi Qur’an Tukufu 
ya Kimataifa kwenye ukumbi wa  wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam 
baada ya kuhitimisha mashindano hayo Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya 
Waziri Mkuu)
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni