ANGALIA MASHABIKI WA SIMBA WALIVYOJITOKEZA UWANJANI
Mashabiki
wa Simba wamejitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Taifa jijni Dar es
Salaam kushuhudia mchezo kati ya Yanga dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo.
Mashabiki
hao ambao ilielezwa awali hawatakwenda, wamejitokeza kwa wingi huku
wengi wakitaka kuishangilia TP Mazembe na si Yanga.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni