Bodi ya Filamu yakutana na wadau wa filamu katika kuadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma
Katibu
Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fisso (kushoto)
akizungumza na wadau wa filamu (hawapo pichani) kujadili changamoto na
namna ya kuendeleza tasnia ya filamu nchini ikiwa ni utaratibu wa
kukutana na wadau hao kusikiliza changamoto zao na kuzipatia ufumbuzi
ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma, kulia ni Kaimu Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Wizara ya Habari Utamaduni
Sanaa na Michezo Genofeva Matemu.
Rais
wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Bw.Simon Mwakifwamba akichangia
hoja katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania na wadau wa filamu
nchini ikiwa ni utaratibu wa kukutana na wadau hao kusikiliza changamoto
zao na kuzipatia ufumbuzi ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Utumishi.
Muandaaji
na msanii wa filamu nchini Bw. William Mtitu akichangia hoja katika
kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania na wadau wa filamu nchini ikiwa
ni utaratibu wa kukutana na wadau hao kusikiliza changamoto zao na
kuzipatia ufumbuzi ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma.
Mmoja
ya wadau wa filamu Bw. Hussein Kimu akichangia hoja katika kikao kati
ya Bodi ya Filamu Tanzania na wadau wa filamu nchini ikiwa ni utaratibu
wa kukutana na wadau hao kusikiliza changamoto zao na kuzipatia
ufumbuzi ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma.
Picha zote na Shamimu Nyaki WHUSM
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni