Jumapili, 12 Juni 2016

Msami apewa zawadi ya Gari na meneja wake

Msanii Msami Giovani anayefanya vizuri na wimbo wake wa ‘Mabawa’ leo June 11, 2016 amefanyiwa surprise na meneja wake Rehema kwa kumzawadia gari aina ya Toyota Ipsum yenye thamani ya shilingi milioni 15.
Msami22
Msami akikabidhiwa Kadi ya Gari na meneja wake Rehema
Meneja wake amesema hiyo ni baada ya single yake kufanya vizuri kwenye redio na TV na hata kumpa shows nyingi zaidi mwaka huu.
Msami 1
Msami 2
Msami

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni