TWD YAKUTANA KUTENGENEZA KATIBA YAO
Umoja wa madjs wa zamani waliosumbua
katika muziki wa Disco enzi zao ulikutana tena siku ya Jumanne June 14,
2016 Escape one Mikocheni katika kikao chao cha kamati iliyoteuliwa
kuunda katiba ya umoja huo uliobeba jina la Tanzania Worldwide Djs ukiwa
unawajumuisha madjs wote waliotamba enzi zao ambao kwa sasa wametapakaa
kote dunia. Walioshiriki kikao maalum cha kutengeneza katiba ni Dj
Saydou, Dj Godfather, Dj Peter Moe, Dj Ebony M, Dj Venture, Dj Young Ray
na Dj Young Jesse.
Madjs wa zamani wakiendelea na kikao chao cha kutengeneza katiba itakayowaongoza.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni