Tigo yafana Tamasha la Simu EXPO
|
Wateja wakipata maelezo kuhusu matumizi ya simu orijno zilizokuwa zinauzwa katika Banda la Tigo mapema mwisho wa wiki iliyopita katika viwanja vya Posta Kijitonyama,jijini Dar es salaam. Baadhi ya watoa huduma wa Tigo wakitoa huduma kwa wateja wao wakati wa kampeni ya kuhakiki simu kama ni Bandia au Orijino mapema mwisho wa wiki iliyopita katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Meneja
Mauzo wa 4G kutoka Tigo Anthony Assenga akisikiliza maoni ya wateja
waliotembelea banda la tigo wakati wa kampeni ya kuhakiki simu kama ni
Bandia au Orijino mapema mwisho wa wiki iliyopita katika viwanja vya Posta jijini Dar es Slaam.
|
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni