RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI PAMOJA NA WAZIRI WA KILIMO MIFUNGO NA UVUVI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mwigulu Lameck Nchemba(Mb) kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Dkt. Charles John Tizeba (Mb) kuwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi,
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba mara baada ya
kuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba mara baada ya
kuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba kulia pamoja na
kaka yake Mhandisi Adrian Tizeba mara baada ya kumalizika kwa tukio la
uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Mhandisi Adrian Tizeba ambaye
alikuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Mwanza amerejea rasmi Chama cha
Mapinduzi CCM. PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni