NAIBU WAZIRI JAFO AZINDUA MADARASA SHULE YA MSINGI NZUGUNI B. DODOMA
NAIBU
WAZIRI OFISI YA RAIS TAMISEMI SELEMAN JAFO AZINDUA VYUMBA VITATU VYA
MADARASA KATIKA SHULE YA MSINGI NZUGUNI ‘B’ KATIKA MANISPAA YA DODOMA
VILIVYOJENGWA NA MANISPAA HIYO KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU; NAIBU WAZIRI
SULEIMAN JAFO AMEWAKUMBUSHA WAKUU WA MIKOA NCHINI KOTE KUKAMILISHA
UTENGENEZAJI WA MADAWATI KUFIKIA JUNI 30 MWAKA HUU KAMA ALIVYOAGIZA MH.
RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI.
Mheshimiwa
Naibu Waziri TAMISEMI Seleman Jafo akizungumza na wananchi wakati
alipozindua na kukagua madarasa katika shule hiyo iliyopo Manispaa ya
Dodomah.
Mbunge
wa Dodoma Mjini ambaye pia ni Naibu wa Waziri Vijana na AJIRA Anthony
Mavunde akitoa neno la shukrani wakati wa uzinduzi huo
Mkuu wa wilaya ya Dodoma Jasmine Tiisekwa akitoa taarifa ya mradi huo wakati wa uzinduzi wa madarasa.
Picha ya Pamoja na walimu wa shule ya msingi Nzuguni B pamoja watendaji wengine
Jengo la madarasa yaliyozinduliwa linavyoonekamana mara baada ya uzinduzi huo.
PICHA ZOTE NA RAMADHANI JUMA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni