Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia TBL, Kushila Thomas, akimpa zawadi mmoja wa wananchi walioshiriki katika uzinduzi huo.
Bia zinazotengenezwa na kampuni ya TBL ni pamoja na Safari Lager,
Kilimanjaro Premium Lager, Ndovu Special Malt, Castle Lite, Castle Lager,
Castle Milk Stout, Redd’s Original, Peroni Nastro Azzurro, Balimi Extra Lager,
Eagle Lager, Eagle Dark, Club 07, Grand Malt, Kilimanjaro Twist na Safari
Sparkling Water, Vinywaji vingine vinavyotengenezwa na kundi la makampuni ya
TBL ni Konyagi Gin na Chibuku.
=============================
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni