Jumapili, 17 Aprili 2016

PICHA MBALIMBALI ZIKIMUONESHA WAZIRI MPINA, AKIZINDUA KAMPENI YA UTUNZAJI MAZINGIRA  KWA KUPANDA MITI.
By Raymond Urio
Naibu Waziri wa Nchi ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Luhaga Mpina, amefanya kampeni ya utunzaji wa  Mazingira na akizindua jiwe la msingi, katika  Eneo la Madale jijini Dar es salaam jana.
Kama ishara ya kumuunga mkono Mh Rais John Pombe Magufuli, katika kutaka Kutunza mazingira.












Hakuna maoni:

Chapisha Maoni