 Kamishna
 Jenerali wa Magereza nchini, CGP John Casmir Minja akikagua Gadi Maalum
 iliyoandaliwa na Maofisa Wahitimu wa Mafunzo ya Maafisa Wateule Daraja 
la Kwanza yalifanyika Aprili 27, 2016 katika Viwanja vya chuo cha Jeshi 
la Magereza, KPF Mkoani Morogoro.

 Jenerali wa Magereza nchini, CGP John Casmir Minja katika jukwaa 
akipokea salaam ya heshima kutoka Gadi Maalum iliyoandaliwa na Maofisa 
Wahitimu wa Mafunzo ya Maafisa Wateule Daraja la Kwanza(hawapo pichani).

  Maofisa
 Wahitimu wa Mafunzo ya Maafisa Wateule Daraja la Kwanza wakipita mbele 
ya Mgeni rasmi katika sherehe za kufunga mafunzo hayo yaliyofanyika 
Viwanja vya chuo cha Jeshi la Magereza, KPF Mkoani Morogoro.

 Jenerali wa Magereza nchini, CGP John Casmir Minja(kushoto) akimvisha 
cheo cha RSM mmoja wa Wahitimu wa Mafunzo ya Maafisa Wateule Daraja la 
Kwanza ambaye amefanya vizuri zaidi katika Mafunzo hayo yaliyofanyika 
kwa muda wa miezi miwili.

  Baadhi
 ya Maofisa wa Kike wa Jeshi la Magereza ambao ni miongoni mwa wahitimu 
wa Mafunzo ya Maafisa Wateule Daraja la Kwanza kama wanavyoonekana 
katika picha.

 Jenerali wa Magereza nchini, CGP John Casmir Minja akitoa hotuba fupi 
kwa Wahitimu wa Mafunzo ya Maafisa Wateule Daraja la Kwanza(hawapo 
pichani).

 Wahitimu wa Mafunzo ya Maafisa Wateule Daraja la Kwanza wakifuatilia 
kwa makini hotuba ya mgeni kama wanavyoonekana katika picha.

 Jenerali wa Magereza nchini, CGP John Casmir Minja akifanya mahojiano 
na baadhi ya Wawakilishi wa Vyombo vya Habari, Mkoani Morogoro.

  Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, CGP John Casmir Minja(katikati) 
akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa Wahitimu wa Mafunzo ya Maafisa 
Wateule Daraja la Kwanza waliosimama mstari wa nyuma.

(Picha zote na Lucas Mboje wa Jes
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni