MATUKIO KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Ilala Azzan Mussa Zungu, bungeni mjini Dodoma Aprili 29, 2016.
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, Angeline Mabula bungeni mjini
Dodoma Aprili 29, 2016.
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Mpwapwa, George Lubeleje
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 29, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Butiama , Nimrod Mkono
kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 29, 2016.
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na wabunge Ahmed Shabiby wa Gairo
(kushoto) na Suleiman Ahmed Saddiq wa Mvomero, kwenye viwanja vya bunge
mjini Dodoma Aprili 29, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas
Gama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 28, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni