Mwenyekiti
wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE), tawi la
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, William Mkombozi (kulia meza kuu)
akizungumza na wajumbe wa chama hicho kabla ya kufanya uchaguzi wa
Mfanyakazi Bora wa tawi hilo katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo,
jijini Dar es Salaam leo. Kushoto meza kuu ni Katibu wa Chama hicho,
Obed Mbaga. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni