RONALDO WOTE, CRISTIANO NA LIMA WALIKUWEPO JUKWAANI ETIHAD JANA.
Mshambuliaji
wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiwa jukwaani leo kutokana na kuwa
majeruhi wakati timu yake ikimenyana na wenyeji Manchester Cty katika
Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa leo Uwanja wa
Etihad. Timu hizo zimetoka 0-0
Mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid, Ronaldo Lima naye alikuwepo Uwanja wa Etihad usiku huu kuishuhudia timu yake ya zamani ikilazimishwa sare na wenyeji
Mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid, Ronaldo Lima naye alikuwepo Uwanja wa Etihad usiku huu kuishuhudia timu yake ya zamani ikilazimishwa sare na wenyeji
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni