DC HAPI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA ALI HASSAN MWINYI
Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mhe. 
Ally Hapi akikagua matengenezo ya  barabara ya Ali Hassan Mwinyi leo 
tarehe 25 Aprili 2016 jijini Dar  es Salaam
 Mkuu wa wilaya Kinondoni Ally 
Salum Hapi ( alivee suruali na koti la kijivu) akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa 
ujenzi wa barabara ya Ali Hassani Mwinyi Halipo tembelea leo kuona 
maendeleo ya ujenzi wa barabara hiyo
Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mhe. Ally Hapi akiwa na wafanyakazi wa MS ESTIM CONSTRUCTION CO.LTD
Mkuu wa wilaya Mhe.Ally Hapi akiongea na msimamizi wa ujenzi.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally 
Hapi kushoto akiwa na meneja wa Tanroad katika barabara ya Ali Hassan 
Mwinyi leo tarehe 25 Aprili 2016
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni