Yanga
tayari wako jijini Mwanza tayari kuwavaa Toto Afrika katika mechi ya
Ligi Kuu Bara itakayopigwa kwenye Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza,
Jumamosi.
Iwapo Yanga itashinda mchezo huo, itakuwa imejihakikishia kuwa bingwa wa Bara kwa asilimia 85. Yanga
ambayo imetua mjini Mwanza leo, itaendelea na maandalizi ya mechi hiyo
tayari kabisa kumaliza kazi yake ya Kanda ya Ziwa ikianza na Toto,
halafu itahamia mjini Shinyanga.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni