Katibu
Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Yamungu
Kayandabila pamoja na Kaimu Mthamini Mkuu wa Serikali Bi. Evelyin
Mugashwa wakifuatilia taarifa ya viwango elekezi vya bei ya soko la
Ardhi nchini katika mkutano na wataalam wa Uthamini Aprili 29, 2016.
Watalaam
wa uthamini wa Serikali, Mashirika ya Umma na binafsi wakijadili
taarifa ya viwango elekezi vya bei ya soko la Ardhi nchini
iliyowasilishwa kwao na ofisi ya mthamini mkuu wa Serikali Aprili 29,
2016.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni