SHIRIKA LA UMEME TANZANIA TANESCO LAZINDUA "TANESCO UMEME"
By Newsroom on April 29, 2016
Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Felchesmi
Mramba (kulia) akizungumza na Waandishi,viongozi wa Tanesco Dar es
Salaam jana wakati wa Uzinduzi wa ‘Tanesco Huduma’ zilizoboreshwa kwa
wananchi ,wateja wanaotumia simu za mkononi za kisasa katika mfumo
uliotengenezwa COSTECH.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Felchesmi
Mramba (katikati) akizungumza.Wengine kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa
Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH),Hassan Mshinda
na Ofisa Mtendaji Mkuu wa DTBi,George Mulamula.
kiongozi wa Tanesco akizungumza.
Wataalamu wa COSTECH wakipangalia mtandao.
Maofisa wa Tanesco wakijadiliana jambo.
Mtaalamu wa Mtandao COSTECH,Godfrey Magila akizungumza na kufafanua.
Wataalamu wa Mtandao wa COSTECH
Viongozi wa Tanesco na Tume ya sayansi na Teknolojia COSTECH wakifurahia jambo.
Kwa Ufupi.
Tanesco
imezindua ‘Tanesco Huduma’ Itakayoboresha huduma kwa wananchi,
kuwasilisha Taarifa kwa kutumia simu za mkononi za kisasa kwa mtu
binafsi au kundi katika mitaa wanayohishi.Kutakuwa na mfumo
utakaokujulisha mambo mbalimbali ya Shirika hilo,Katika majaribio
yameanza kwenye mkoa wa tanesco wa Kinondoni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni