TYSON AMSIKITIKIA KLITSCHKO KUKUBALI KUPIGWA NA BONGE KAMA YEYE...
Bondia Tyson Fury haishi vituko aisle. Hii ilikuwa jana lakini ache tu nikupe kidogo.
Ilikuwa
ni wakati wa kutangaza bambino lao la maruduiano la ubingwa WBA na WBO
katika uzito wa juu kabisa dhidi ya Wladimir Klitschko.
Wakati wa kutangaza pambano hilo, kwanza kaingia na warembo ambao kwenye makalio kuna herufi zinazounda jina lake.
Kama
haitoshi, akaanza kumshangaa Klitschko kushindwa na mtu kama yeye
ambaye alijiita bonge. Akavua shati na kuonyesha tumbo lake.
Tyson aliendelea kuendelea kusisitiza kushangazwa na mpinzani wake asiyeweza kuonyesha uwezo wake na kumshinda bonge kama yeye.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni