Chama cha Wawekezaji Binafsi katika Sekta ya Elimu chazinduliwa
Mwenyekiti wa Chama cha 
Wawekezaji Binafsi katika Sekta ya Elimu Tanzania (TAPIE) ambaye pia ni 
Mmilikiwa Shule ya Tusiime Bw. Albert Katagira akizungumza wakati wa 
uzinduzi na mkutano wa kwanza  wa chama hicho jana jijini Dar es Salaam.
 Kushoto ni Katibu wa Chama hicho Bw.Kachwamba Ansar na wapili kulia ni 
Makamu Mwenyekiti Bw.Johson Ishengoma.
Mwanachama wa Chama cha 
Wawekezaji Binafsi katika Sekta ya Elimu (TAPIE) ambaye pia ni mmiliki 
wa Shule ya Awali na Msingi ya Fortune iliyopo Tabata Kinyerezi Bw.Hope 
Kaiza akichangia hoja wakati wa uzinduzi na mkutano wa kwanza wa chama 
hicho jana jijini Dar es Salaam.
Mwanachama wa Chama cha 
Wawekezaji Binafsi katika Sekta ya Elimu (TAPIE) Bw. Mahamoud Mringo 
(aliyesimama) akifafanua jambo wakati wa uzinduzi na mkutano wa kwanza 
wa chama hicho jana jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa
 Chama hicho Bw. Albert Katagira na Makamu Mwenyekiti wake Bw. Johnson 
Ishengoma.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha 
Wawekezaji BinafsiBaadhi ya wanachama wa Chama cha Wawekezaji Binafsi 
katika Sekta ya Elimu (TAPIE) wakifuatilia mada wakati wa uzinduzi wa 
chama hicho jana jijini Dar es Salaam.
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni