Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na uongozi wa Baraza la Wanachama waChama cha Wanasheria
Wanawake Tanzania (TAWLA) wakati Uongozi huo ulipofika Ofisini kwa
Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo April 27,2016 kwa lengo la
kumpongeza na pamoja na kumuelezea malengo na mikakati ya kiutendaji ya
Chama hicho.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Baadhi ya Wawakilishi na Wanachama wa Chama cha SKAUT
Nchini wakati ujumbe wa wawakilishi hao ulipofika Ofisini kwa Makamu wa
Rais Ikulu Dar es salaam leo April 27,2016 kwa ajili ya kumuelezea
Makamu wa Rais shuhuli zao za kiutendaji hasa katika kutoa mafunzo
mbalimbali kwa Mtoto wa kike.
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Wanachama wa SKAUT Nchini.Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Wanachama wa SKAUT Nchini.
Makamu wa Rais Mhe. Samia akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Baraza la TAWLA
Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiungumza na Katibu Mkuu Kiongozi
Baolozi Peter Kijazi Baada ya kuapishwa kwa Makatibu wa Mikoa leo April
27,2016 Ikulu Dar es salaam. (Picha na OMR)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni