MAJALIWA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Profesa Godius Kahyarara, Ofisini
kwake Bungeni Mjini Dodoma Aprili 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni