 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, 
akifungua mkutano wa nane kwa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Taasisi 
inayopambana na tatizo la Silaha Haramu. Mkutano huo wa siku moja 
unajadili kuhusu kudhibiti matumizi ya Silaha ndogo ndogo katika Nchi za
 Maziwa Makuu na pembe ya Afrika umefanyika leo April 22,2016 katika 
ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring Mkoani Arusha.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, 
akifungua mkutano wa nane kwa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Taasisi 
inayopambana na tatizo la Silaha Haramu. Mkutano huo wa siku moja 
unajadili kuhusu kudhibiti matumizi ya Silaha ndogo ndogo katika Nchi za
 Maziwa Makuu na pembe ya Afrika umefanyika leo April 22,2016 katika 
ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring Mkoani Arusha.  Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, 
akisalimiana na Baadhi ya Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Taasisi 
inayopambana na tatizo la Silaha Haramu baada ya kufungua Mkutano wa 
siku moja unajadili kuhusu kudhibiti matumizi ya Silaha ndogo ndogo 
katika Nchi za Maziwa Makuu na pembe ya Afrika umefanyika leo April 
22,2016 katika ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring Mkoani Arusha.

akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Taasisi 

(Picha na OMR)
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni