| Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete ametoa
 andiko lake kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani. andiko 
hilo ambalo ameliandika kwa lugha ya Kiingereza na ambalo limo katika 
Tovuti ya gazeti la Huffington Post, Dk. Kikwete anasema “ When I was
 President of Tanzania, I remember visiting a district where 70 percent 
of the children were absent from school. They told me the problem was 
malaria. I sent my minister of health to investigate, and he confirmed 
it was true: a majority of children were missing school and falling 
behind because they had malaria. That was a wake-up call for all of us…” Kusoma zaidi andiko hilo Tafadhali> BOFYA HAPA |  |  |  |  | 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni