DENMARK YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MUZIKI KWA TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBA)
Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Sanaa Wizara ya Habari ,Utamaduni, Sanaa,na
Michezo Leah Kihimbi akizindua mradi wa vyombo vya muziki kati ya
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) na
Kituo cha Utamaduni na Maendeleo cha Watu wa Denmark (CKU), uzinduzi huo ulifanyika
katika Chuo cha Sanaa mjini Bagamoyo mkoani Pwani jana.

Msimamizi
wa program wa Kituo cha Utamaduni na Maendeleo Denmark (CKU) hapa
Nchini,Mandolin Kahindi akielezea utekelezaji wa mpango wa utamaduni na
ubunifu Tanzania inayotekelezwa na kituo hicho kwa
ushirikiano na ubalozi wa Denmark nchini Tanzania.

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUba) , Michael Kadindena akitoa neno la shukrani wakati wa
hafla hiyo.
hafla hiyo.
Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Sanaa Wizara ya Habari ,Utamaduni, Sanaa,na
Michezo, Leah Kihimbi akipiga kinanda wakati wa uzinduzi wa mradi wa
vyombo vya muziki kati ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni
Bagamoyo (TaSUBA) na Kituo cha Utamaduni na Maendeleo cha Watu wa Denmark (CKU), uzinduzi
huo ulifanyika katika Chuo cha sanaa Bagamoyo jana. Wanaoshudia katikati ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUba) Michael Kadindena kulia ni Mratibu wa Mradi huo, Melkiades Banyanka.

Mkurugenzi wa Idara ya Sanaa Wizara ya Habari ,Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Leah Kihimbi akipuliza Tarumbeta ambacho ni moja ya vifaa vya
muziki vilivyotolewa na Kituo cha utamaduni na maendeleo cha Denmark
(CKU).
Meza kuu, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sanaa Kutoka Wizara ya Habari
,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Leah Kihimbi (katikati) akiwa pamoja na viongozi
wengine wakifuatilia burudani kutoka kwa wanafunzi wa Taasisi ya Sanaa na
Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) wakati wa uzinduzi wa mradi huo.

Wanafunzi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) wakitoa burudani.
Wanafunzi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA),pamoja na wageni waalikwa wakishuudia kwa uzinduzi wa mradi huo.
Wanafunzi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA),pamoja na wageni waalikwa
wakishuudia kwa uzinduzi wa mradi huo.
wakishuudia kwa uzinduzi wa mradi huo.
Picha ya pamoja.
………………………………………………………………………………….
KITUO cha Utamaduni na Maendeleo cha
Denmark (CKU), kimetoa msaada wa vifaa vya muziki katika Tasisi ya sanaa na
utamaduni Bagamoyo (TASUBA) vyenye thamani ya shilingi milioni 80 za
kitanzania.
Mbali na kununua vifaa vya muziki,sehemu ya fedha hizo pia zitatumika katika matengenezo na usimamizi wa
vifaa hivyo kwa kipindi cha mwaka mmoja wa mradi huo.
Akizungumza jana wilaya ya Bagamoyo
Mkoa wa Pwani Msimamizi wa program CKU hapa Nchini,Mandolin Kahindi anasema
kuwa ni moja fursa ya kuendeleza utamaduni na maendeleo ya kiuchumi.
Alisema kuwa msaada huo ni utekelezaji wa mpango wa utamaduni na ubunifu Tanzania inayotekelezwa na kituo hicho kwa
ushirikiano na ubalozi wa Denmark nchini Tanzania.
“Unajua mpango wa kuanza kutoa msaada Tasuba ulianza
mwaka 2014 baada ya CKU kukitembelea chuo hicho na kuelezwa kinakabiliwa na
changamoto nyingi ikiwemo ukosefu wa vifaa vya muziki vya kufundishia na
kujifunzia”alisema.
Alifafanua kuwa mpango huu wa kusaidia
uliazinduliwa rasmi juni mwaka jana ililenga kutengeneza fursa za kiuchumi
kupitia jukwaa la sanaa na ubunifu ambapo watanzania watajipambanua kupitia
kushiriki shughuli mbalimbali za kitamaduni na kujipatia kipato.
Kwa upande wa Kaimu Mkurugenzi wa Idara
ya Sanaa Kutoka Wizara ya Habari ,utamaduni,sanaa,na michezo Leah Kihimbi
alisema kuwa amefurahi kupata msaada huo katika chuo cha sanaa lengo likiwa ni
kuendeleza vipaji hapa nchini.
“Katika chuo hiki ni kweli
kulikuwa na uhaba wa vifaa vya kufundishia lakini sasa tumepokea msaada kutoka
katika Danish Centre for Culture and Development(CKU) kuweza kuwasaidia wanafunzi
katika chuo hiki.
Aliongeza na kusema kuwa ni jambo laDenmark (CKU), kimetoa msaada wa vifaa vya muziki katika Tasisi ya sanaa na

kuigwa kwa tasisi nyingine lengo ni kuweza kusaidia vyuo mbalimbali hapa
nchini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni