WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO
Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi 
(kulia) wakati alipomuuliza swali katika kipindi cha Maswali kwa Waziri 
Mkuu, bungeni Mjini Dodoma Aprili 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri 
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni mjini Dodoma Aprili 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph 
Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma 
Aprili 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mahonda, Bahati Ali 
Abeid kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 28, 2016. Kushoto ni 
Mbenge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. 
Hussein Mwinyi. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kwahani na  Waziri wa 
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi  (kushoto) kwenye 
viwanja vya Bunge  mjini Dodoma Aprili 28, 2016. Katikati ni Mbunge wa 
Mahonda, Bahati Ali Abeid.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Bariadi na Mwenyekiti 
wa Bunge Mtemi Andrew Chenge kwenye viwanja vya Bunge mjini  Dodoma 
Aprili 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Welezo, Saada  Salum Mkuya akichangia Bungeni Mjini Dodoma Aprili 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni