PICHA ZIKIONESHA ; NAMNA MAHREZ, DELLE ALLI WALIVYOSHEREKEA TUZO ZAO ZA WANASOKA BORA WA MWAKA ENGLAND
|  | 
| MWANASOKA BORA WA ENGLAND, RIYAD MAHREZ ANAYEKIPIGA LEICESTER CITY, RAIA WA ALGERIA. | 
|  | 
| MWANASOKA BORA KIJANA WA ENGLAND, DELLE ALLI, RAIA WA ENGLAND ANAYEKIPIGA TOTTENHAM | 
|  | 
| JAMIE VARDY, TUZO YA MWANASOKA ALIYEWEKA REKODI KATIKA UFUNGAJI WA MABAO YAKE. | 
|  | 
| RYAN GIGGS, NAYE ALIPATA TUZO YA PFA KUTOKANA NA MCHANGO WAKE MWENDELEZO KATIKA SOKA LA ENGLAND. | 
 




 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni