Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Ndugu Jumanne Abdallah Sagini kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu,
Ikulu jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Ndugu Selestine Muhochi Gesimba kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita,
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Ndugu Amantius Casmiri Msole kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera,
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Ndugu Zuberi Mhina Samataba kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Ikulu
jijini Dar es Salaam.. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Zuberi Mhina Samataba kuwa Katibu
Tawala wa Mkoa wa Pwani, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Dkt. Thea Medard Ntara kuwa katibu Tawala wa mkoa wa Tabora, Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Ndugu Richard Nkingwa Kwitega kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha,
ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Eng. Aisha Salim Amour kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Eng. Zena Ahmed Said kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Tanga, Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Ndugu Albert Gabriel Msovela kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga,
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Dkt. Angelina Mageni Lutambi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida,
ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Makatibu Tawala wapya wa Mikoa 10 mara baada
ya Kuwaapisha. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na
Kushoto kwake ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makatibu Tawala wapya mara baada
ya kupiga nao picha ya pamoja Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa
habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wengine katika picha ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi.Rais Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari kutoka
vyombo mbalimbali vya Habari Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika
picha ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi
mara baada ya kumaliza kuwaapisha Makatibu Tawala wa mikoa 10 Ikulu
jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
……………………………………………………………………………………………………….
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Makatibu Tawala wapya kumi
aliowateua tarehe 25 Aprili, 2016 na kuwapangia vituo vyao vya kazi.
Makatibu Tawala hao wameapishwa
leo tarehe 27 Aprili, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam na kisha wametia
saini hati ya ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma, zoezi
lililoendeshwa na Kamishna wa maadili Sekreatieti ya Maadili ya Viongozi
wa Umma, Mheshimiwa Jaji Salome Kaganda na kushuhudiwa na Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi.
Makatibu Tawala walioapishwa ni;
- Arusha – Richard Kwitega
- Geita – Selestine Muhochi Gesimba
- Kagera – Armatus C. Msole
- Kilimanjaro – Aisha Amour
- Pwani – Zuberi Mhina Samataba
- Shinyanga – Albert Gabriel Msovela
- Singida – Angelina Mageni Lutambi
- Simiyu – Jumanne Abdallah Sagini
- Tabora – Thea Medard Ntara
- Tanga – Zena Said
Makatibu Tawala wengine wa Mikoa
ambao hawakuapishwa leo, ni wale waliohamishwa vituo vya kazi na wale
waliobaki katika vituo vya kazi walivyokuwep,o ambao tayari walishakula
kiapo cha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
27 Aprili, 2016
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni