Picha na mpiga picha wetu
By Newsroom on April 22, 2016
Ofisa
Mwelekezi wa Programu ya kukuza Ajira zenye staha kwa Vijana Dar es
Salaam (YEID) kupitia Elimu ya Biashara na Ujasiriamali,Vituo vya
Taarifa na Elimu ya kujiajiri. Bi. Emiliana Muchu akiwasilisha mada
kuhusu mafanikio ya program hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa
mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo.Programu
hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision
Association (TYVA), Open Mind Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Mratibu
wa Programu ya kukuza Ajira zenye staha kwa Vijana Dar es
Salaam,kupitia Elimu ya Biashara na Ujasiriamali Bw.Bw. Dominic
Ngunguru akiwasilisha mada kuhusu mafanikio ya program hiyo jana
jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha
wadau wa program hiyo.Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi
za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania(OPM) na
Youth of Afrika (YOA).
Mratibu
wa Programu ya Ukuzaji Ajira zenye Staha Kanda ya Afrika Mashariki na
mwakilishi wa Taasisi ya FIC kutoka Nairobi Kenya, Bw.Festus Ouko
akichangia mada wakati wa mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau
wa program hiyo jana jijini Dar es Salaam.Programu hiyo inatekelezwa kwa
ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open
Mind Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Baadhi
ya wajumbe wa Kamati kuhusu Programu ya kukuza Ajira zenye Staha kwa
Vijana Dar es Salaam (YEID) wakifuatilia mada kuhusu mafanikio ya
program hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa nne wa
Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo.Programu hiyo inatekelezwa
kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA),
Open Mind Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuhusu Programu ya kukuza Ajira zenye Staha
kwa Vijana Dar es Salaam (YEID) wakifuatilia mada kuhusu mafanikio ya
program hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa nne wa
Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo.Programu hiyo inatekelezwa
kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA),
Open Mind Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Baadhi
ya wajumbe wa Kamati kuhusu Programu ya kukuza Ajira zenye Staha kwa
Vijana Dar es Salaam (YEID) wakiwa katika picha ya pamoja jana jijini
Dar es Salaam mara baada ya kumaliza mkutano wa nne wa Kamati
inayokutanisha wadau wa program hiyo.Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia
baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind
Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Pich
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni