MTANZANIA FRANK LYIMO APEPERUSHA VYEMA BENDERA YA TANZANIA MAREKANI, ASHINDA MR. VIRGINIA INTERNATIONAL UNIVERSITY
By Newsroom on April 22, 2016 

Frank 
Lyimo (mwenye vazi la kimasai) mmoja ya Watanzania wanaosoma katika chuo
 cha kimataifa cha Virginia, ameshinda kwenye shindano la vivazi 
lililofanyika siku ya Alhamisi April 21, 2016. Vazi lililompa taji hilo 
ni vazi la kimasai.
Frank 
Lyimo akiwa katika picha ya pamoja na miss District of Columbia mara tu 
alipovikwa taji na kuwa Mr. Virginia International University.
Frank 
Lyimo akiwa katika picha ya pamoja na wanachuo wenzake wa Kitanzania 
wakipeperusha bendera ya Tanzania chuoni hapo katika kusherehekea 
ushindi.
Frank Lyimo (kati) akiwa na washiriki wengine.
 



 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni