MABONDIA WA TANZANIA WATAMBA KUWASAMBALATISHA WAGENI
Mabondia watakaocheza katika mpambano wa kimataifa mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa kutoka kushoto ni Abdallah Pazi Fransic Miyeyusho, Thomas Mashali, Lulu Kayage na Swalehe Mkalekwa . |
BONDIA THOMAS MASHALI AKIZUNUMZIA MPAMBANO WAKE |
LULU KAYAGE AKIONGEA KUHUSU MPAMBANO WAKE |
Mabondia watakaocheza katika mpambano wa kimataifa mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa kutoka kushoto ni Abdallah Pazi Fransic Miyeyusho, Thomas Mashali, Lulu Kayage na Swalehe Mkalekwa |
Mabondia watakaocheza katika mpambano wa kimataifa mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa kutoka kushoto ni Abdallah Pazi Fransic Miyeyusho, Thomas Mashali, Lulu Kayage na Swalehe Mkalekwa na mratibu Anton Rutta |
Mratibu wa mpambano wa kimataifa Anton Rutta akizungumzia mpambano uho nyuma akiwa na mabondia watakaocheza |
Picha na SUPER D BOXING NEWS
…………………………………………………………………………….
Na Mwandishi Wetu
HOMA ya mpambano wa kimataifa
umezidi kupamba mota baada ya leo kukutanishwa mabondia wote wa
Tanzania watakaocheza na wa nje kuongea na wahandishi wa habariNa Mwandishi Wetu
akizungumza katika mkutano na waandihi wa habari mlatibu wa mpambano uho Anton Rutta amesema mabondia wote wapo safi kwa ajili ya mpambano uho wa kimataifa ambapo bondia
Thomas Mashali ‘Simba Asiyefugika’ atakuwa anagombea ubingwa wa dunia mkanda wa U.B.O na Sajjad Mehrab kutoka ‘Irani’
Wakati mapambano mengine ya kimataifa yatawakutanisha mabondia
Mwanadada
Lulu Kayage atakaezichapa na Chiedza Homakoma ‘Nikita’ wa Malawi
wengine ni Ramadhan Shauri atakaepambana na Osgood Kayuni wa Malawi
wakati Twaha Kassim atapambana na Fred Nyakese kutoka Kenya na Saleh
Mkalekwa atakumbana na Jems Onyango wa Kenya na Fransic Miyeyusho
atavaana na Frank Kiwalabye wa Uganda na Nassibu Ramadhani atacheza na
Edwrd Kakembo wa Uganda Abdalla Pazi ‘Dula Mbabe’ atavaana na
Chamunorwa Gonorenda kutoka Zimbabwe
mapambano
mengini ya kitaifa yatawakutanisha Shaban Kaoneka atakaecheza na
Hassan Mwakinyo na Issa Nampepeche atakumbana na Baina Mazola mapambano hayo ya kimataifa yameandaliwa na promota mkongwe Ally Mwazowa kutoka mkoa wa Tanga siku hiyo kutakuwa na burudani mbalimbali zitakazo sindikiza mapambano hayo ya kimataifa ya mchezo wa masumbwi siku
hiyo pia kutakuwa na ugawaji wa zawadi kwa mabondia watakaocheza vizuri
na kuonesa nidhamu ya mchezo wa masumbwi ikiwemo vifaa vya mchezo
pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutamba shiria za
mchezo uho nyingine zitakuwa zikiuzwa kwa galama nafuu kwa mashabiki
watakaofika siku hiyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni